BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja , Biden anatumai mapigano ya Gaza yatasitishwa wiki ijayo
Rais wa Marekani anasema pande zinazozozana ziko karibu kufikia mapatano lakini anaonya kuwa "bado hatujamaliza".
"Ngome 12 za siri". Jinsi CIA inavyoisaidia Ukraine kupambana na Putin - NYT
Kwa zaidi ya miaka 10, Marekani imedumisha ushirikiano wa siri wa kijasusi na Ukraine, ambao sasa ni muhimu kwa nchi zote mbili katika kukabiliana na Urusi, limeandika gazeti la The New York Times la Marekani , baada ya kuhoji vyanzo 200 katika nchi zote mbili na nchi za Ulaya.
Benin kuchangia wanajeshi 2,000 kwa kikosi cha Kenya nchini Haiti
Kikosi hicho cha usalama kinatarajiwa kusaidia kurejesha amani na usalama na kupunguza mzozo wa kibinadamu nchini Haiti.
'Chakula kinakuwa anasa kwetu huku Gaza'
Nagham Atef Mezied, mwenye umri wa miaka 22, yuko Deir el-Balah.Yeye ni mwanafunzi wa matibabu na daktari wa kujitolea.Ameiambia BBC kuhusu hali ilivyo Gaza
Zanzibar yafuta kodi kwenye sukari
Wakati nchi ya Tanzania ikiendelea kutafuta suluhu ya uhaba wa sukari, Serikali ya Zanzibar imetoa msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye bidhaa ya sukari ili kuwasaidia wananchi kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Je, ni kweli Urusi imepokea mamia ya makombora kutoka Iran?
Kwanini makombora ya Iran ni hatari ikiwa yatatumiwa na Urusi dhidi ya Ukraine?
Kwanini uchumi wa Nigeria upo kwenye hali mbaya
Nigeria inakabiliwa na mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kuwahi kutokea, na kusababisha maandamano kote nchini
Museveni na Ruto wajadili azma ya Odinga kuwania wadhifa wa juu katika Muungano wa Afrika
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga anaazimia kumrithi mwenyekiti wa sasa wa AUC Moussa Faki Mahamat
'Nani ataniita Baba?' Kilio cha baba wa Gaza aliyepoteza jamaa 103
"Nilifanya nini hadi kupokonywa mama yangu, mke wangu, watoto wangu na kaka zangu?"
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 27.02.2024
Real Madrid wamefikia makubaliano ya kumsajili beki wa Bayern Munich na Canada Alphonso Davies, 23, na watatarajia kukamilisha dili hilo msimu huu wa joto au 2025, atakapokuwa mchezaji huru. (Athletic- Usajili unahitajika)
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Kwa nini kuwa mkarimu kwa wengine kunaweza kuwa na faida kwa afya na mwili wako?
Sote tungependa njia za haraka na rahisi za kuboresha afya zetu, lakini tunapata ushauri unaokinzana, lakini je vipi kuhusu kufanya matendo madogo ya ukarimu ili kunufaisha mfumo wako wa kinga?
Watoto wa Gaza wanaotafuta chakula ili kuokoa maisha ya familia zao
"Wakati mwingine mimi hurudi nyumbani mikono mitupu na nina huzuni."
Jinsi ya kutoa huduma ya CPR kuokoa maisha baada ya mshtuko wa moyo
Matibabu ya huduma ya kwanza iitwayo CPR hutolewa kwa watu ambao wamepata mshtuko wa moyo.
Ramadhan: Ni chakula kipi unachofaa kula na kipi cha kuepuka mwezi wa mfungo?
Kipindi cha kufunga kinazingatiwa mwezi mzima.
Miaka miwili ya vita nchini Ukraine: Majibu ya maswali matano muhimu
Miaka miwili baada ya kuanza kwa vita nchini Ukraine, hakuna sababu ya kuamini kwamba vitamalizika hivi karibuni.
Ikiwa iPhone yako imeanguka ndani ya maji .. basi fanya hivi!
Ikiwa maji yataingia kwenye iPhone yako, Apple inawashauri watumiaji wasikaushe kwenye mfuko wa mchele.
Masaibu ya kutekwa nyara na kubakwa na mwendesha bodaboda
Jamaa huyo wa Bodaboda alichukua njia tofauti na ikawa ndio mwanzo wa matukio ya dhuluma yaliokuwa mbele yake.
William Ruto na Bola Tinubu: Wakosolewa kwa kusafiri sana
Safari zao zina faida na gharama kiasi gani?
Wagner: Jinsi kundi la mamluki wa Urusi lilivyobadilisha mbinu zake Barani Afrika
Urusi imejumuisha kundi la mamluki katika idara zake za kijasusi, ikipania kudhoofisha Afrika.
Kwa nini hatari ya kupata saratani huongezeka kadri umri unavyoongezeka?
Utambuzi wa saratani ya Mfalme Charles III ulikuwa na athari kote ulimwenguni, kuanzia na tangazo lisilo la kawaida lililotolewa na Jumba la Buckingham.
Pacha waliungana na kutarajiwa kuishi siku chache waimarika kinyume na matarajio
Marieme na Ndeye, hawakutarajiwa kuishi kwa zaidi ya siku chache baada ya kuzaliwa.
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 28 Februari 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 27 Februari 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 27 Februari 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 27 Februari 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki